Posts

Showing posts from September, 2017

NEWS

Image
Mshambuliaji wa Man City Sergio Aguero amevunjika mbavu baada ya kupata ajali ya gari huko Amsterdam,Uholanzi usiku wa kuamkia leo.

BREAKING: Reports: @ManCity striker @aguerosergiokun injured in car crash in Amsterdam.

Image

CHIRWA AGEUKA BONDIA UWANJA WA UHURU

Image
Straika wa Yanga, Obrey Chirwa jana Jumanne jioni, aligeuka kuwa bondia baada ya kumshambulia kwa kipigo mpigapicha John Dande wa New Habari kwenye mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Uhuru, ikidaiwa kukerwa kupigwa picha. Beki Juma Abdul alifanya kazi ya ziada ya kuingilia kati na kumuokoa mpigapicha Dande alijeruhiwa na Mzambia huyo aliyeonekana kuwa na hasira huku pia mkononi akiwa ameshika mkasi wa kukatia nyasi aliotaka kumjeruhi nao Dande. Tukio hilo limeripotiwa Kituo cha Polisi cha Chang'ombe, huku uongozi wa Yanga ukikaririwa kutofurahishwa na kilichofanywa na nyota wao huyo. Chanzo cha mkasa huo kinaelezwa na Chirwa alikerwa na Dande baada ya wiki iliyopita kuwapiga picha wakati wa mgomo baridi wa kushinikiza walipwe mishahara yao.

A first @ChampionsLeague hat-trick for @HKane! 🙌

Image

The best XI of current UEFA Champions League coaches ⚽️💪 THAT midfield 🔥🔥

Image

Matokeo UEFA Champions League

Image

YANGA YAZINDUA UWANJA

Image
Mechi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga SC dhidi ya Singida United itakayochezwa Novemba 4 mwaka huu katika mzunguko wa tisa wa michuano ya ligi kuu ndiyo itakayozindua rasmi uwanja wa Namfua mkoani Singida.

#Habari:Jeshi la polisi mkoani Shinyanga linawashikilia watu wanne kwa kosa la kushiriki kumuozesha mwanafunzi wa shule ya msingi.

Image

LEO UEFA CHAMPIONS LEAGUE MECHI KATI YA BORUSSIA DORTMUND vs REAL MADRID

Image

MSIMAMO WA LIGI KUU YA ENGLAND

Image

ARSENAL KUWEZA KUIBUKA MABAO 2-0 ZIDI YA WAPINZANIWAO WEST BROMWICH

Image
magoli ya arsenal ya lifungwa na LacazetteAlex